Usiku wa March 5 tasnia ya Bongo Movie iliingia kwenye headlines Lagos Nigeria, baada ya wasanii wawili kushinda tuzo za Africa Magic Viewer’s Choice Awards 2016 zilizotolewa Lagos Nigeria, Single Mtambalike maarufu kama Rich Richie usiku wa March 6 kuamkia March 7 aliwasili Airport Dar na tuzo yake ya filamu bora ya Kiswahili aliyoshinda Nigeria
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na MillardAyo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE