RIP Mama Celina Kombani… Usiku wa September 24 2015 taarifa ya Majonzi ilitufikia ambapo taarifa yenyewe ilikuwa inahusu msiba wa aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Mama Celina Kombani.
Mama Celina alifariki kutokana na maradhi ya Saratani, na alifariki akiwa India ambako alienda kwa ajili ya kupatiwa matibabu.
Taarifa kuhusu Ratiba ya mwili kuwasili Dar es Salaam na shughuli za kuaga mwili pamoja na Ratiba ya Mazishi tayari ilitolewa.

Mwili wa Marehemu umewasili Dar na watu mbalimbali wamejitokeza kuaga mwili wa Marehemu katika Viwanja vya Karimjee, Dar es Salaam.




PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia kuanzia kwenye siasa, muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata,pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>YouTUBE