Wachimbaji wa moramu kwenye machimbo yaliyopo katika kata ya Moivaro mkoani Arusha wamepata mshtuko baada yakudai polisi kufyatua risasi hewani huku wakiamriwa kuondoka.
Baada ya malalamiko hayo kamanda wa polisi mkoa wa Arusha Justine masejo amesema wanafanya ufuatiliaji wa tukio hilo ili kuweza kupata ukweli wa taarifa hizo.