Taarifa zilitufikia muda huu ni kwamba ofisi za Clouds Media Group zilizopo Mikocheni zinaungua kwa moto ambao chanzo chake bado hakijajulikana.
Jitihada za kuuzima zimekwisha anza baada ya kikosi cha zima moto kufika eneo la tukio na hadi sasa hakuna majeruhi wa moto huo waliripotiwa.
Ulipitwa? Shuhuda akielezea ajali ya moto iliyotokea Airport DSM usiku wa Jan 12 2017