Premier Bet
TMDA Ad

Michezo

Huu ndio usafiri mpya anaomiliki kwa sasa Emmanuel Adebayor…

on

dude

Mshambuliaji Emmanuel Adebayor ameonyesha sasa ameingia kwenye list ya wachezaji wa ligi kuu ya England wanaomiliki magari ya kifahari na kudhihirisha kwamba kazi anayofanya inamlipa.

Safari hii Adebayor ambaye ni raia wa Togo ameamua kuonyesha mchuma wake mpya aina ya Rolls Royce, anaenjoy zake ndani ya mchuma wake huo ambao thamani yake ni paundi 360,000/- ambazo ni sawa na fedha za kitanzania zaidi ya milioni 900.

tote

Katika ukurasa wa Instagram aliweka picha na post aliyoandika kwamba yuko ndani ya gari yake akienda mazoezini, halafu akawatakia wiki njema fans na followers wake; “SEA, This mornings ride to training, travel in style and ready to work! Have a good week guys. #Godisgood#GlorybetoGod #Godisthereason #shoppingtime#chillingtime #chillmood #team228 #surulere#Stophating #lifesgood“– @

adeeNitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia Twitter, Instagram na Facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>>twitter Insta Facebook

Tupia Comments