Premier Bet
TMDA Ad

Michezo

Cristiano Ronaldo walivyojiachia Beach na mtoto wake kwenye visiwa vya Bahamas…(Pichaz)

on

jr6

Kuna ule msemo wa mtoto wa nyoka ni nyoka, kwa mtoto wa Cristiano Ronaldo iko hivyohivyo… ukimwangalia ana dalili zote kufuata njia ya baba yake kwenye soka.

Ronaldo na mtoto wake huyo ambaye kwa sasa ana umri wa miaka mitano wameonekana wakijipumzisha katika ufukwe wa Bahamas huku dogo akiwa busy muda wote  ni yeye na mpira, baba yake alikuwa pembeni pia wakiendelea kula zao good times.

jr8

jr8

jr9

jr11

jr10

jr6

jr5

jr3

jr2

jr

Unahitaji chochote nachokipata kikufikie? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook naInstagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Tupia Comments