Videos

Video mpya kutoka kwa yule Roberto wa ‘Amarulah’

on

Japo ni Roberto ambaye ni raia wa Zambia ameanza mishemishe zake long time na mpaka sasa akiwa na album mbili, Tanzania ilimfahamu kwa kishindo kupitia hit single ya ‘Amarulah’ ambayo iliingia mpaka kwenye Top5 ya CloudsFM Top 20.

Hii video mpya ya ‘Am gon love her‘ ft. Sebastian Dutch ni kutoka kwenye album ya Amarulah, video imefanywa Durban, South Africa

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments