Moja ya stori ambayo inatrend kwa sasa kwenye mitandao ni kuhusu Waziri Mkuu wa zamani katika Serikali ya Awamu ya Tatu, Frederick Sumaye kuchukuliwa mashamba yake na Serikali kwa sababu hayakuendelezwa.
Sasa leo August 22, 2017 Sumaye amekutana na Waandishi wa Habari na kufunguka ishu yote ya kuchukuliwa mashamba yake…tazama kwenye hii video mwanzo mwisho.
Serikali kuanza mchakato kusambaza gesi majumbani…