Top Stories

“Sihitaji Nyumba” – Mrembo kahamia kwenye gari kuogopa kodi kubwa

on

DUNIANI kuna kila namna ya mambo – mambo ambayo mengi hufurahisha na mengine hushangaza sana kwa sababu sio ya kawaida au ni nadra sana kufanyika. Ipo hii stori ambayo inamuhusu mwanamke mmoja Marekani kuamua kuingia kuishi kwenye gari akihofia kodi kubwa na gharama za samani kwenye nyumba za kupanga.

Eileah Ohning, mwenye umri wa miaka 31 ambaye ni Photographic Producer kutoka Columbus, Ohio, amekuwa akiishi kwenye gari lake tangu May 2017 akiweka kila kitu kinachohitajika ikiwa ni pamoja na kitanda, jiko huku akiwa na mpango wa kuongeza bafu, choo na na friji.

Soma na hizi

Tupia Comments