Top Stories

Rais wa Misri amewasili Tanzania na kupokelewa na Rais JPM

on

Rais wa Misri Abdel Fattah El-Sisi leo August 14, 2017 amewasili Tanzania kwa ziara ya kikazi ambapo alipokelewa na mwenyeji wake Rais Magufuli katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu J.K Nyerere Dar es Salaam kabla ya kuelekea Ikulu.

Tazama kwenye hii video hapa chini tukio zima!!!

Soma na hizi

Tupia Comments