AyoTV

VIDEO: ‘Nimepokea taarifa za kutaka kuuawa kwa M/kiti’ -Mbunge Mchengerwa

on

Mbunge wa Rufiji Mohamed Mchengerwa alisimama Bungeni Dodoma leo April 19, 2017 ili kuuliza maswali kwa serikali ambapo pia alilieleza bunge kuhusu kupokea taarifa za kutaka kuuawa kwa Mwenyekiti Nyambunju katika jimbo lake baada kuvamiwa na majambazi.

VIDEO: Maswali matatu ya Mbunge Professor J Bungeni leo 

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments