Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Picha: DC Jokate Mwegelo ziarani nchini Afrika Kusini, ‘Kutangaza Mkonge’
Share
Notification Show More
Latest News
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo June 3, 2023
June 3, 2023
Picha: DC Halima Bulembo aungana na wakuu wa Idara, ‘Kutekeleza wajibu wao katika Utumishi’
June 2, 2023
Upinzani unashinikiza mageuzi mapya ya uchaguzi
June 2, 2023
Mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania.
June 2, 2023
Nyota wa zamani wa Manchester United Lingard kuondoka Nottingham Forest
June 2, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Picha: DC Jokate Mwegelo ziarani nchini Afrika Kusini, ‘Kutangaza Mkonge’
Top Stories

Picha: DC Jokate Mwegelo ziarani nchini Afrika Kusini, ‘Kutangaza Mkonge’

March 28, 2023
Share
2 Min Read
.
SHARE

Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mkoani Tanga, Jokate Mwegelo yupo kwenye ziara Nchini Afrika Kusini yenye lengo la kutangaza zao la mkonge na mambo ya uhifadhi wa Wanyamapori na mazingira ambapo akiwa huko amezungumzia umuhimu wa ushiriki wa Vijana katika ujenzi wa Bara la Afrika.

DC Jokate amesema atatumia fursa hiyo kutangaza chapa ya ‘Made In Korogwe’, ikiwa ni sehemu ya kutangaza bidhaa zinazozalishwa Korogwe pamoja na kutangaza kazi za Wajasiriamali Wanawake na Vijana wa Kitanzania, pia kujadili jinsi Wajasiriamali wa Afrika Kusini na Tanzania wanavyoweza kushirikiana kukuza ukuaji na maendeleo Afrika “Nina furaha kutembelea Afrika Kusini na kuungana na Wafanyabiashara na Viongozi, maono yangu ni kujenga Bara bora la Afrika”

Jokate ametembelea Ubalozi wa Tanzania ili kujadili ushirikiano na Maj.Gen (Mstaafu) Gaudence Milanzi, Balozi wa Tanzania Nchini Afrika Kusini na Wafanyakazi wa Ubalozi, pia ataandaa chakula cha jioni na baadhi ya Watu muhimu Afrika Kusini ili kujadili jinsi Wajasiriamali nchini Afrika Kusini na Tanzania wanaweza kufanya kazi pamoja ili kukuza ukuaji na maendeleo Afrika.

.
.

Pia ametembelea maduka ya Wanawake Wajasiriamali Afrika Kusini ili kuona jinsi wanavyoweza kupanua kazi na biashara zao hadi Korogwe na pia kujadili jinsi Wajasiriamali wa Tanga wanaweza kuuza bidhaa zao nchini Afrika Kusini.

You Might Also Like

Picha: DC Halima Bulembo aungana na wakuu wa Idara, ‘Kutekeleza wajibu wao katika Utumishi’

Upinzani unashinikiza mageuzi mapya ya uchaguzi

Mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania.

Serikali ya Congo na mahakama ya ICC zakubaliana kuimarisha ushirikiano

Amnesty yaonya Iran dhidi ya Kunyonga kwa Kesi zinazohusiana na madawa ya kulevya

Edwin TZA March 28, 2023
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Gari mpya yaangukiwa na mti Arusha, Nyuki wazuia Watu Kuliondoa, “Watu wanaogopa”
Next Article Daktari Bingwa wa Watoto awataka hili Wajawazito kuzingatia Lishe Bora
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo June 3, 2023
Magazeti June 3, 2023
Picha: DC Halima Bulembo aungana na wakuu wa Idara, ‘Kutekeleza wajibu wao katika Utumishi’
Top Stories June 2, 2023
Upinzani unashinikiza mageuzi mapya ya uchaguzi
Top Stories June 2, 2023
Mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania.
Top Stories June 2, 2023

You Might also Like

Top Stories

Picha: DC Halima Bulembo aungana na wakuu wa Idara, ‘Kutekeleza wajibu wao katika Utumishi’

June 2, 2023
Top Stories

Upinzani unashinikiza mageuzi mapya ya uchaguzi

June 2, 2023
Sports

Nyota wa zamani wa Manchester United Lingard kuondoka Nottingham Forest

June 2, 2023
Top Stories

Serikali ya Congo na mahakama ya ICC zakubaliana kuimarisha ushirikiano

June 2, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?