Mshtakiwa namba moja Lengai Ole Sabaya kwenye kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili yeye pamoja na wenzake sita imeshindwa kuendelea leo katika Mahakama ya hakimu mkazi Arusha baada ya kuugua.
SHAHIDI AKWAMISHA KESI YA MBOWE, JAMHURI WATOA TAARIFA “ANAUMWA”