
Rapper kutokea kundi la Weusi, Nikki wa Pili leo Feb 6 ametuletea hii single yake mpya iitwayo SAFARI, humo ndani zimesikika sauti za mastaa wengine sita waliopewa collabo na staa huyo, yumo Joh Makini, G Nako, Nahreel, Aika, Vanessa Mdee na Jux.
Bonyeza hapa uingie hapa kusikiliza na kudownload pia >>>> HAPA
Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia Twitter Instagram na Facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>> twitter Insta Facebook