Top Stories

Sakata la Tozo, Zanzibar kupokea fedha, Waziri Mwigulu atolea ufafanuzi (Video+)

on

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar zimeweka utaratibu wa kutatua changamoto za muungano kupitia mfumo rasmi wa vikao vya kamati ya pamoja kati ya pande hizo mbili, Waziri Mwigulu Nchemba ametoa kauli hiyo akiwa Zanzibar baada ya kumaliza ziara ya ukaguzi wa kiwanda cha maziwa cha fumba na Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Zanzibar.

“Fedha za Uhamiaji zinazotokana na shughuli za uhamiaji zinazopatikana Zanzibar zilikuwa zinahesabika kwenye bajeti za Muungano na matumizi yake yalikuwa yanaidhinishwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lakini baada ya kuonekana hilo haliko sawa tulipitisha utaratibu kuwa sasa zitakusanywa Zanzibar na zinapangiwa matumizi Zanzibar”-Waziri wa Fedha na Mipango, Dr. Mwigulu Nchemba

KAMANDA MSTAAFU KOVA AFUNGUKA TUKIO LA GWAJIMA KUOMBA KUBADILISHA KITI NA MIC “TATIZO LA SAIKOLOJIA”

 

 

Soma na hizi

Tupia Comments