Hoja ya Vijana wengi kukosa nguvu za kiume imeibuka Bungeni ambapo Mbunge wa viti Maaalum Neema Lugangira amesimama na kutaka kushika shilingi wakati Bunge lilipokaa kama kamati kupitisha Bajaeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu ya mwaka 2021/22——-“Vijana wengi wana matatizo ya nguvu za kiume”