AyoTV

FULL VIDEO: Rais Magufuli alivyowasamehe Babu Seya na familia yake

on

Leo December 9 2017 Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli ametangaza msamaha kwa Familia ya Babu Seya, msamaha huo ameutoa wakati wa maadhimisho ya sikukuu  ya Uhuru yaliyofanyika kitaifa mkoani Dodoma. Video kamili nimekuwekea hapa chini tayari…

DAAAAH ! Mwalimu Mkuu afungiwa Ofisini na Walimu

Soma na hizi

Tupia Comments