Video Mpya

VideoMPYA: Lava Lava amerudi tena na ‘Kilio’

on

Msanii kutokea kwenye record label ya WCB Lava Lava amekuja na video mpya ya “Kilio” ikiwa ni siku chache zimepita toka atoe video ya ‘Teja’ ,Lava Lava ametoa ngoma kibao ambazo zimekuwa zikifanya vizuri ndani na nje ya Tanzania, ili kutazama video hiyo bonyeza PLAY hapa chini.

AUDIO:Faiza Ally ametaja sababu za kujitoa katika magroup ya wasanii

Soma na hizi

Tupia Comments