Mix

VIHOJA! Jamaa kaenda Ukweni, kilichomkuta “Red Card” (+video)

on

Zuch Zuchero kama kawaida yake akiwa na M-Koba ameingia mtaani akiwa na swali lake matata leo anauliza; Kama mpenzi wako kakupeleka ukweni, kisha ukiwa sebuleni unajipatia chakula ghafla mkweo anamuinua mwenza wako na kumpeleka chumba ambapo unasikia sauti akimuuliza ‘Ulimwambia mwenzio kama umezaliwa na Virusi vya Ukimwi ‘ Je ungekuwa wewe ungefanyaje…?

Yule Obadia na Stella wa Kigambo wafikishwa mahakamani, wamwaga machozi

Soma na hizi

Tupia Comments