Michezo

Hivi ndivyo Serena Williams alivyosherehekea ushindi wake wa 700…

on

serenaSerena Williams ameendelea kuudhihirishia ulimwengu kwamba yeye ni bora zaidi katika mchezo wa tenis duniani baada ya kusherehekea ushindi wake 700 katika mchezo huo.

winMkali huyo wa tenisi duniani upande wa wanawake, amesherekea ushindi huo wa 700 kwa kula keki na baadhi ya wadau na marafiki zake wa karibu kama ishara ya kujipongeza.

win2Serena alimshinda Sabine Lisicki wa Ujerumani kwa seti 7-6, 1-6, 6-3 na kutinga fainali ya mashindano ya Miami Open.

win4Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>> twitter Insta Facebook

Tupia Comments