Waziri wa Afya Ummy Mwalim ameeleza kuguswa na tukio la mtoto, Anna Zambi ambaye amepoteza wazazi wote wawili na ndugu zake 3, waliopata ajali wakati wakienda kwenye Mahafali yake mkoani Kilimanjaro Oktoba 26, 2019, na kuahidi ataenda kumfariji.
“Suala la mtoto Anna Zambi, Serikali kupitia Wizara ya Afya na Maendeleo ya Jamii tunachukua jukumu la kuratibu na kusimamia psychosocial support ya mtoto huyu pamoja na ustawi wake kwa ujumla, Katibu Mkuu Dkt. John Jingu leo ataitembelea familia yake iliyopo Goba” – Waziri Ummy
PART 1: MENINA AMSISITIZA MWIJAKU KUMSAIDIA KIJANA WAO ALIEPATA KAZI