Nov 2 2016 ilikuwa siku rasmi ya uzinduzi wa Swahili fashion week, wiki ambayo wanamitindo na wabunifu kutoka Afrika mashariki wanakutana kuonyesha mavazi na mitindo waliyobuni yenye asili ya kiafrika kwa mwaka . Nimekusogezea picha kutoka kwenye makumbusho ya taifa Dar es saalam.
Video:Christian Bella katuonesha muonekano wa studio yake mpya>>>