Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Samia Suluhu, amempendekeza aliyekuwa Kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM Shaka Hamdu Shaka kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa chama hicho. Kwa sasa Polepole anahudumu katika nafasi hiyo.
Shaka Hamdu Shaka apendekezwa kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM (+video)
Leave a comment
Leave a comment