Shosteez ni kundi linalomilikiwa na Producer Lamar ambapo January 22 2014 limeanza kushoot wimbo mpya ambao bado hata audio yake haijatoka ‘Tonight’ waliomshirikisha Ay.
millardayo.com inakupa nafasi ya kuwa mmoja kati ya watu wa mwanzo kushuhudia baadhi ya picha za utengenezaji wa video hii ya hawa warembo watatu wa Shosteez ambao ni Salma, Nuru na Meninah.
Director ni producer Lamar na video inatengenezwa na kampuni iitwayo Hefemi Studio ambayo makazi yake yamekua Marekani kwa kipindi kirefu.