Baada ya usiku wa Januari 16, 2022 Soko la Karume kuteketea kwa Moto, Serikali imetoa maagizo mbalimbali ikiwemo kuwaruhusu wafanyabiashara kufanya ujenzi wa Vibanda na kuendelea na Biashara.
Huu ni muonekano wa sasa wa Soko hilo, ambapo pia Ayo TV imezungumza na Wafanyabiashara hao.