Aliyemuua mtu kwa mapanga auawa na Wananchi ‘Alimchoma bisibisi bibi yake’
Share
0 Min Read
SHARE
Mtu mmoja alifahamika kwajina la Abdallah Abed ambaye ni Mlemavu wa akili amewajeruhi Watu watatu kwa kutumia panga na mmoja kufariki dunia ambapo baadaye Wananchi wenye hasira kali wamemshambulia Abdallah hadi kupelekea kifo chake.