Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Simba yamvulia kofia Rais Samia, yamuahidi makubwa dhidi ya Horoya
Share
Notification Show More
Latest News
Video: RC Shigella atoa tamkoa kufuatia Wananchi kuchoma kituo cha Polisi
April 1, 2023
Machinga wa Tegeta wafunguka ‘Usafi ni tatizo sokoni, tumepokea vifaa vya Milioni 5’
April 1, 2023
Picha: Maafisa habari washuhudia maboresho ya Miundombinu, mifumo katika bandari ya DSM
April 1, 2023
Picha: Mwenyekiti wa CCM Dkt Samia aongoza kikao maalum cha kamati kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM
April 1, 2023
Jeshi la Zimamoto na uokoaji lapokea magari mapya matatu ya kuzima moto, Waziri Bashungwa anena haya
April 1, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Sports > Simba yamvulia kofia Rais Samia, yamuahidi makubwa dhidi ya Horoya
SportsTop Stories

Simba yamvulia kofia Rais Samia, yamuahidi makubwa dhidi ya Horoya

March 13, 2023
Share
2 Min Read
SHARE

WAKATI timu ya Simba ikiibuka na ushindi wa bao 3-0 dhidi ya Mtibwa Sugar ya Turiani mkoani Morogoro, uongozi wa klabu hiyo umesema ni jambo zuri kuwa na Rais wa nchi anayependa michezo kiasi cha kuongeza motisha katika utafutaji magoli muhimu ya kuzivusha timu za nchi yake kwenye michuano ya Kimataifa.

Hayo yamekuja kutokana na ofa ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe, Dkt. Samia Suluhu Hassan kutoa Sh Milioni 5 kila goli litakalopatikana kwa timu za Simba na Yanga, Simba ikishiriki Ligi ya Mabingwa Afrika, wakati mtani wao wa jadi Yanga, akicheza Kombe la Shirikisho.

Akizungumza jijini Dar es Salaam Msemaji wa Simba, Ahmed Ally, alisema si tu Rais Samia anatamani timu za Tanzania zifanye vizuri Kimataifa, bali pia anashiriki kikamilifu katika mbinu ya utafutaji wa magoli muhimu ya kuzisaidia timu za nchi yake.

Alisema hali hii inaongeza chachu ya wachezaji, mashabiki, wanachama na viongozi wote kuona wana deni kubwa kwa rais wao, hivyo kuongeza bidi kubwa kushinda kwenye mechi zao.

“Si tu Rais Samia anataka twende mbele, bali pia anaingia kwenye watafutaji wa magoli, kwa maana kununua goli katika mechi ngumu kama hizi, anamaanisha anataka wachezaji wacheze jihadi ili kuyapata kwa lengo moja tu timu ishinde na kupata pointi muhimu.

“Mambo kama haya kufanywa na mtu mkubwa kama Rais wa nchi yanatia moyo, ukizingatia anayefanya haya si mtu wa kawaida isipokuwa raia namba moja kwenye Taifa letu, hivyo sisi Simba tunamuahidi makubwa mama yetu kwenye mechi yetu dhidi ya Horoya Jumamosi ijayo kwa lengo moja la kufuzu robo fainali,” Alisema Ally.

Katika michuano ya Kimataifa inayoshirikisha timu za Simba na Yanga, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amejitokeza kununua kila goli litakalopatikana kwa Sh Milioni 5, ambapo mpaka sasa Yanga wamevuna milioni Milioni 30 kwa kufunga bao 6, huku Simba wao wakipata Sh Milioni 10 kwa kufunga mabao 2.

You Might Also Like

Video: RC Shigella atoa tamkoa kufuatia Wananchi kuchoma kituo cha Polisi

Machinga wa Tegeta wafunguka ‘Usafi ni tatizo sokoni, tumepokea vifaa vya Milioni 5’

Picha: Maafisa habari washuhudia maboresho ya Miundombinu, mifumo katika bandari ya DSM

Picha: Mwenyekiti wa CCM Dkt Samia aongoza kikao maalum cha kamati kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM

Jeshi la Zimamoto na uokoaji lapokea magari mapya matatu ya kuzima moto, Waziri Bashungwa anena haya

Millard Ayo March 13, 2023
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 13, 2023
Next Article Watu 16 wameuawa na watu wenye silaha kaskazini mwa Nigeria.
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Video: RC Shigella atoa tamkoa kufuatia Wananchi kuchoma kituo cha Polisi
Top Stories April 1, 2023
Machinga wa Tegeta wafunguka ‘Usafi ni tatizo sokoni, tumepokea vifaa vya Milioni 5’
Top Stories April 1, 2023
Picha: Maafisa habari washuhudia maboresho ya Miundombinu, mifumo katika bandari ya DSM
Top Stories April 1, 2023
Picha: Mwenyekiti wa CCM Dkt Samia aongoza kikao maalum cha kamati kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM
Top Stories April 1, 2023

You Might also Like

Top Stories

Video: RC Shigella atoa tamkoa kufuatia Wananchi kuchoma kituo cha Polisi

April 1, 2023
Top Stories

Machinga wa Tegeta wafunguka ‘Usafi ni tatizo sokoni, tumepokea vifaa vya Milioni 5’

April 1, 2023
Top Stories

Picha: Maafisa habari washuhudia maboresho ya Miundombinu, mifumo katika bandari ya DSM

April 1, 2023
Top Stories

Jeshi la Zimamoto na uokoaji lapokea magari mapya matatu ya kuzima moto, Waziri Bashungwa anena haya

April 1, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?