Michezo

Huu ndio uongozi Mpya wa Simba, soma kipya walichosema kuhusu Okwi

on

uongoziiClub ya Simba leo imefanya mabadiliko kwenye sekretarieti yake kwa kumteua Ezekiel Kimwaga kuwa Katibu Mkuu wa Simba ambaye kabla alikua Evodius Mtawala ambaye kwa sasa amepata ajira mpya kwenye Shirikisho la Soka Tanzania (TFF)Kaimu wake ni Stanley Philipo,Asha mhaji ndiye msemaji mkuu wa Simba ambaye kabla alikuwa mwandshi wa habari.

simba1Vyeo vingine ni mhasibu mkuu wa Simba ni Dires Kietena na  kaimu wake ni bi.Amina kumwambi wengine ni Husein moze ambaye yupo upande wa utawala na IT manager,kamati ya utendaji imeridhia majina hayo yote na tar 23 march Simba watafanya mkutano wa marekebisho ya katiba ya Simba na agenda ikiwa ni moja tu,

simbanewRage pia aliongelea kuhusu suala la mchezaji Okwi ambaye kwa sasa zimetoka taarifa kutoka Tff kumfungia mchezaji huyo kwa muda mpaka suala lake litakapofuatiliwa hiki ndicho alichokisema>>’‘Okwi kuna kesi 3 zipo Fifa kuna kesi moja kati ya Simba na etoile du sahel inamhusu Okwi hatujalipwa pesa zetu,kuna kesi ya pili Okwi anadai pesa zake hajalipwa na kuna kesi ya tatu etoile du sahel wanasema Okwi ametoroka tangu alipoitwa kwenda kuchezea timu ya taifa’

‘Okwi kuna kesi 3 zipo Fifa kuna kesi moja kati ya Simba na etoile du sahel inamhusu Okwi hatujalipwa pesa zetu,kuna kesi ya pili Okwi anadai pesa zake hajalipwa na kuna kesi ya tatu etoile du sahel wanasema Okwi ametoroka tangu alipoitwa kwenda kuchezea timu ya taifa’

‘Tff wametumia busara kuna nyaraka mbili zinachanganya kama Tff hawakufafanua  mimi sijui kwanini wamemsimamisha Okwi hao ni wakubwa zangu,Mimi navyohisi Caf tarehe 8 Dec waliiwaandikia Fufa’Fufa walitaka wamtumie Okwi kwenye mashindano ya Chan’

‘Caf wakakataa wakawaambia hawawezi kumtumia mashindano ya Chan kwa sababu mkataba wake na etoile du sahel bado unatumika,baada ya kukataliwa ndipo Mwanasheria wake akasema huyu ni mchezaji akikaa hivi hivi anaweza kupoteza uwezo wake wa kucheza mpira’

‘kupitia shirika la Fufa,Fifa wakatoa kibali kwa Single Jurge anaitwa Stewart kutoka Uingeleza akasema anamruhusu achezee villa kwa miezi 6,Hapo ndo mkanganyiko ulipokuja maana watu wengi hawaelewi na hii ndo tulipigwa bao kwa Yule mchezaji wa Rwanda,watu wengi wanadhani ukipata ATC ni halali si kweli,unaweza kuwa na ATC lakini uliipata kwa njia sio sahihi.

Tupia Comments