Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: VIDEO: Polisi DSM waeleza sababu za kufananishwa na TRA katika utendaji
Share
Notification Show More
Latest News
Katibu wa NEC anena kuhusu mfumo wa M-Mama, utasaidia kupunguza vifo vya akina Mama Wajawazito
May 30, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo May 30, 2023
May 30, 2023
Waziri Masauni asimama Bungeni Mei 29, 2023 ‘Watanzania 66 waukana Uraia’
May 29, 2023
Sentensi za Mkurugenzi wa Asas kwenye Mkutano Mkuu wa 37 wa Jumuiya ya Tawala za mitaa Tanzania (ALAT)
May 29, 2023
Hospitali yachunguzwa kwa madai ya kuwaweka watoto wachanga kwenye maboksi
May 29, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > AyoTV > VIDEO: Polisi DSM waeleza sababu za kufananishwa na TRA katika utendaji
AyoTVMixStori Kubwa

VIDEO: Polisi DSM waeleza sababu za kufananishwa na TRA katika utendaji

April 5, 2017
Share
1 Min Read
SHARE

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Simon Sirro leo April 5, 2017 ameeleza sababu za Jeshi hilo kufananishwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania ‘TRA’ katika utendaji wao wa kazi hasa katika ukusanyaji wa mapato.

Kamanda Sirro ametoa ufafanuzi huo mbele ya Waandishi wa Habari akisema kumeibuka maneno sehemu mbalimbali hasa mitandaoni wananchi wakidai kuwa Jeshi hilo limeacha kazi yake ya kulinda raia na mali zao na kufanya kazi ya kukusanya mapato ambayo hufanywa na TRA.

“Nimeona watu wengine wanazungumza kwenye mitandao kwamba Polisi wamekuwa kama TRA. Mimi niliweke vizuri, sheria zipo. ukiangalia katika sheria ya Usalama barabarani iko vizuri. Na kama umekamatwa na kosa ambalo tunaamini umekiuka makosa ya Usalama barabarani hatukulazimishi wewe kulipa ile faini. Kuna mawili; kama hauko tayari kulipa ile faini, utaratibu upo tunakupeleka Mahakamani.” – Kamanda Sirro.

Bonyeza play kutazama video hapo chini…

VIDEO: Nay wa Mitego asema alikamatwa kama mnyama. Bonyeza play kutazama.

You Might Also Like

Hospitali yachunguzwa kwa madai ya kuwaweka watoto wachanga kwenye maboksi

Marekani yabatilisha visa ya spika wa bunge la Uganda baada ya saini Mswada mkali wa ushoga kuwa sheria

Waziri wa mambo ya nje wa Urusi Sergey Lavrov azuru Kenya

July, 2022 hadi May, 2023 makosa makubwa ya jinai yameongezeka.

Cristiano Ronaldo kuondoka Al-Nassr adaiwa kuwasiliana na Real Madrid

TAGGED: Ayo TV, kamanda sirro, TZA HABARI
Millard Ayo April 5, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article VIDEO: Mr T Touch kuhusu Young Dee na dawa za kulevya….
Next Article Dayna Nyange ameshinda tuzo mbili nchini Nigeria
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Katibu wa NEC anena kuhusu mfumo wa M-Mama, utasaidia kupunguza vifo vya akina Mama Wajawazito
Top Stories May 30, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo May 30, 2023
Magazeti May 30, 2023
Waziri Masauni asimama Bungeni Mei 29, 2023 ‘Watanzania 66 waukana Uraia’
Top Stories May 29, 2023
Sentensi za Mkurugenzi wa Asas kwenye Mkutano Mkuu wa 37 wa Jumuiya ya Tawala za mitaa Tanzania (ALAT)
Top Stories May 29, 2023

You Might also Like

Top Stories

Katibu wa NEC anena kuhusu mfumo wa M-Mama, utasaidia kupunguza vifo vya akina Mama Wajawazito

May 30, 2023
Top Stories

Waziri Masauni asimama Bungeni Mei 29, 2023 ‘Watanzania 66 waukana Uraia’

May 29, 2023
Top Stories

Hospitali yachunguzwa kwa madai ya kuwaweka watoto wachanga kwenye maboksi

May 29, 2023

Marekani yabatilisha visa ya spika wa bunge la Uganda baada ya saini Mswada mkali wa ushoga kuwa sheria

May 29, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?