Top Stories

VIDEO: Shavu alilopewa Bondia Hassan Mwakinyo, atolewa kijiweni mpaka Gym ya kisasa

on

Baada ya kusambaa video inayomuonesha bondia mtanzania Hassan Mwakinyo aliyeshinda pambano la ngumi nchini Uingereza dhidi ya Bondia Muingereza Sam Eggington, akiwa anafanya mazoezi kwenye Gym asiyo na ubora, hatimae wamejitokeza wadau na kumsaidia kumpa muda wa miezi sita kufanya mazoezi kwenye Gym yao bure bila malipo.

Ayo TV na millardayo.com zilikuepo wakati akikibidhiwa mkataba na kuoneshwa sehemu ya mazoezi karibu kutazama video hapa chini kwa kubonyeza PLAY.

NOMA! Bondia Mwakinyo alivyobebwa mgongoni na Mama yake (+Video)

VIDEO: Nyumba anayoishi bondia Hassan, kaizungumzia ataikarabati..?

UMEIONA HII YA UKUMBI ULIOPO PEMBEZONI MWA BAHARI, UNAGAWANYIKA MARA 3 

Soma na hizi

Tupia Comments