Msanii Abdukiba amezungumza kwa upande wake kuhusu wimbo aliouchia kipindi cha hivi karibuni wimbo ambao unadaiwa kuwa ni wa Timbulo ambaye alizungumza na Ayo TV pamoja na millardayo.com na kukiri kuwa ni kweli kwenye wimbo alikuwa ni sehemu ya wamiliki.
Baada ya Timbulo kusema hivyo tumemtafuta Abdukiba ambaye amesema yeye mwenyewe amekuwa akisikia hilo ila ukweli ni kwamba wimbo ni wake na huyo mtu anayedaiwa kuwa amemuuzia wimbo hajamuuzia ila ni mtu anayefanya naye kazi.
Bonyeza PLAY hapa chini kumtazama ABDUKIBA akizungumza
“Watanzania tuna unafiki Wanawake wanaachiwa” – IDRIS