Top Stories

VIDEO: Vilio na simanzi kwenye mazishi ya abiria wa MV Nyerere

on

Leo Septemba 23 2018 miili ya Watanzania waliopoteza maisha kwenye ajali ya Kivuko cha MV Nyerere kilichozama kwenye Ziwa Victoria Septemba 20 ambapo Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ndio ameongoza mazishi hayo ya kitaifa, tazama kwenye hii video hapa chini kuona kuanzia mwanzo mpaka mwisho

VIDEO: MAMA HAJAWAPATA NDUGU ZAKE 8 WALIOKUWA NDANI YA KIVUKO CHA MV NYERERE

Soma na hizi

Tupia Comments