AyoTV

Video ya magoli ya mchezo wa JKT Ruvu Vs SIMBA VPL 2015/2016, Full Time 0-2

on

Mechi za Ligi Kuu soka Tanzania Bara ziliendelea Jumatano ya January 20 kwa michezo  mitano kupigwa, uwanja wa Taifa Dar Es Salaam, klabu ya JKT Ruvu ilikuwa mwenyeji wa Simba katika mchezo wa 15 wa Ligi Kuu. Simba walimaliza mchezo kwa kuibuka na ushindi wa goli 2-0, magoli ya Simba yalifungwa na Hamis Kiiza kwa mkwaju wa pentai dakika ya 51 na Danny Lyanga dakika ya 61 ya mchezo. Mtu wangu wa nguvu naomba nikusogezee video ya magoli yote na sehemu ya mchezo huo.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Tupia Comments