Taarifa hii ikufikie mtu wangu kama wewe utakuwa ni mpenzi wa kuvaa viatu, hii ni good news kwako, June 17 2016 nakusogezea moja kati ya viatu vinavyotumia bluetooth na venye uwezo wa kukuelekeza mahali uendapo na nimeona ni share na wewe mtu wangu, Viatu hivi vyenye jina la ‘Sneakerairs‘ na vina sensor ya umeme
Teknolojia hii iliotengenezwa na kampuni ya Easy Jet ambapo unaambiwa kama ni mgeni wa sehemu uliofikia na hujui popote unatumia viatu hivyo kwa kuunganisha na simu yako kwa kuunganisha na kifaa hicho kwenye viatu vyako kwa bluetooth na vita kukupeleka popote utakapotaka kwenda kwa miguu yako mwenyewe bila kupotea.
Viatu hivi vimefanyiwa majaribio nchini Brazil kwa mara ya kwanza na vitaingizwa sokoni siku za mbeleni kwa ajili ya watu kuvinunua na kuvitumia kwa matumizi binafsi.
Tazama video hii kujua zaidi kuhusu viatu hivi….
https://youtu.be/Ycp16t6qr8M
ULIKOSA VIDEO YA NEWZEALAND KUWA NA UHABA WA MAPARACHICHI? ICHEKI VIDEO HII HAPA CHINI….
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE