Msanii Snura inasemekana alifunga ndoa ya siri hivi karibuni na baba mzazi wa mtoto wake aitwaye Dj Hunter na kuhudhuriwa na watu wachache.
Mwenyewe Snura kamwambia Soudy Brown kuwa suala la ndoa si tatizo, lakini pia hakuweka wazi kuhusu ndoa yao hiyo.
Sikiliza alichomjibu Soudy Brown kwenye Uheard ya leo…
Unahitaji chochote nachokipata kikufikie? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.