Spika wa Bunge Job Ndugai alikuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa hoteli ya Fantasy Village iliyojengwa Dodoma na Mbunge wa jimbo la Aman Mussa Hassan Mussa.
Katika hotuba yake Spika Ndugai alionyesha kukerwa na baadhi ya watu ambao wamekuwa wakiwasema vibaya wawekezaji Wazawa wa Tanzania hasa Viongozi mbalimbali wanapoweka wazi uwekezaji wao, bonyeza play hapa chini kumtazama
BREAKING NEWS: Nyalandu kuanza kuchunguzwa na TAKUKURU na POLISI, Dr. Kigwangalla aagiza, mtazame kwenye hii video hapa chini