Ni muunganiko wa wakali kutokea Arusha na mkali kutokea Dodoma Ben Pol ambao baada ya watu kuwasikia kwenye audio na hamu ya kuwaona pamoja kwenye video…..ndio hii imetoka ‘Staki Kazi’
Ukishaitazama usiache kutoa yako ya moyoni ili Nikki wa Pili,G Nako,na Ben Pol wakipita hapa wasome kutoka kwa watu wao wa nguvu..
Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>> twitter Insta Facebook