Kazi yangu ni kuhakikisha hupitwi na chochote ndio maana natumia muda wangu kukusanyia matukio mbalimbali kuanzia Ofisini,Barabarani,Mitaani mpaka kwenye Mitandao kama hii ya leo.
Chunga sana ,matatizo hayawezi kufanana,huyu anataka gari yule hajala toka jana…
— GODZILLA#Zizi (@King_Zillah) December 17, 2014
Vurugu zinazotokea wakati wa uchaguzi hufanya watu wengi hasa wanawake kupoteza haki yao ya kutokupiga kura, Tumezoea amani sio vita. — Batuli_Actress (@Batuli223) December 17, 2014
President @jmkikwete will speak to the nation anytime from now, i am told. — Zitto Ruyagwa Kabwe (@zittokabwe) December 17, 2014
Hospitali ya Apollo , lndia imelfanikiwa kuwatenganisha watoto mapacha toka Tanzania waliokuwa wameungana vifua. pic.twitter.com/nnBHj0jbRe
— Ridhiwani Kikwete (@ridhiwankikwete) December 17, 2014
Niambie tofauti kati ya kiongozi wa kisasa na kiongozi wa kisiasa..#@tuo8january — Nick Mweusi (@nikkwapili) December 17, 2014
Kila zama na kitabu chake, kila zama na mitume wake, kila zama na changamoto zake, Kila zama na uongozi wake.. #Tuo8January
— #BongoHiphop (@FidQ) December 17, 2014
Tangazo la kujindikisha daftari la kudumu. WAKAZI WA KAWE PITIENI. Sio majaribio..Tume haitarejea tena ktk hizo Kata! pic.twitter.com/ImByrh8eSp
— Halima James Mdee (@halimamdee) December 17, 2014
Aisha Madinda, you was a Stunner. A powerful Performer. You left behind a Mark. Somewhere, Somehow. Something went wrong we mourning U today — zahir ally zorro (@ZahirAlly) December 17, 2014