AyoTV na millardayo.com imefanya mahojiano na Miriam Mathias(35) mzaliwa wa Puge Mkoani Tabora ni dada anayeishi na ulemavu wa miguu tatizo alilolipata akiwa na miaka nane baada ya kuugua na kufanyiwa upasuaji kwenye UTI wa mgongo.
Miriam ni fundi wa kushona nguo lakini kwa sasa anasumbuliwa na maumivu ya mgogo hali inayopelekea anashindwa kufanyakazi vizuri pamoja na hilo amekuwa anapata shida ya kunyanyasika hasa kwenye suala la makazi anahitaji kusaidiwa msikilize akisimulia.
STORY YA KWELI NA YA KUSISIMUA YA MIRIAM MLEMAVU “KANISANI WAMENIKATAA NA WAZAZI”