Mchekeshaji Jaymond amekutana kwenye mahojiano na AYO TV ambapo akaulizwa endapo atapewa nafasi ya kutangaza ataweza kutangaza kipindi gani ndipo alipochagua kipindi cha mapenzi na kuanza kukitangaza. Tazama ilivyokuwa kwa ku-Play hapa chini kwenye video.
VIDEO: Super Nyamwela kaongea hali ya kiafya ya Ali Choki