Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: VIDEO: Ushindi wa Tunisia dhidi ya Algeria katika uwanja wa Franceville
Share
Notification Show More
Latest News
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo June 3, 2023
June 3, 2023
Picha: DC Halima Bulembo aungana na wakuu wa Idara, ‘Kutekeleza wajibu wao katika Utumishi’
June 2, 2023
Upinzani unashinikiza mageuzi mapya ya uchaguzi
June 2, 2023
Mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania.
June 2, 2023
Nyota wa zamani wa Manchester United Lingard kuondoka Nottingham Forest
June 2, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Sports > VIDEO: Ushindi wa Tunisia dhidi ya Algeria katika uwanja wa Franceville
Sports

VIDEO: Ushindi wa Tunisia dhidi ya Algeria katika uwanja wa Franceville

January 19, 2017
Share
1 Min Read
SHARE

Alhamisi ya January 19 2017 michuano ya mataifa ya Afrika kwa mwaka 2017 maarufu kama AFCON ilichezwa katika uwanja wa Franceville nchini Gabon, uwanja wa Franceville unatumiwa kwa michezo ya Kundi B lenye timu za Algeria, Tunisia, Senegal na Zimbabwe.

Mchezo wa kwanza kwa leo umezikutanisha timu za Tunisia dhidi ya Algeria maarufu kama Mbweha wa Jangwani, Algeria ambao wameshuka dimbani wakiwa na kumbukumbu ya sare ya 2-2 dhidi ya Zimbabwe katika mchezo wao wa kwanza, wamekutana na kipigo cha goli 2-1 kutoka kwa wapinzani wao Tunisia.

Mchezo kati ya Algeria na Tunisia haukuwa mwepesi na ililazimika kusubiri hadi dakika ya 50 ili kuona nyavu zikicheza, baada ya Ramy Bansebaini kuipatia goli la kwanza Tunisia kabla ya dakika ya 66 Naimi Sliti kufunga goli la pili kwa mkwaju wa penati, mabadiliko ya kutolewa Yassin Ibrahim dakika ya 74 na kuingia Sofiane Hanni yalizaa matunda kiasi baada ya Hanni kufanikiwa kufunga goli la kufutia machozi dakika ya 90 kwa Algeria.

https://youtu.be/MwBsp4PJmnc

VIDEO: Yanga vs Azam FC January 7 2017, Full Time 0-4

You Might Also Like

Nyota wa zamani wa Manchester United Lingard kuondoka Nottingham Forest

Pep Guardiola awaonya Manchester City dhidi ya mchezo wao jumamosi hii

FA CUP: Haaland hana hofu kwa Man Utd, – Varane

Mashabiki wa soka nchini china kulipa zaidi ya Million 1 kumuona Messi

Rais wa FIFA Gianni Infantino aipongeza Young Africans ,ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2022/23

TAGGED: soka ulaya
Rama Mwelondo TZA January 19, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Maamuzi mengine ya Rais Magufuli leo January 19 kwenye uteuzi
Next Article Gambia bado kwa moto, Adama Barrow kaapishiwa Urais akiwa nje ya nchi (+video)
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo June 3, 2023
Magazeti June 3, 2023
Picha: DC Halima Bulembo aungana na wakuu wa Idara, ‘Kutekeleza wajibu wao katika Utumishi’
Top Stories June 2, 2023
Upinzani unashinikiza mageuzi mapya ya uchaguzi
Top Stories June 2, 2023
Mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania.
Top Stories June 2, 2023

You Might also Like

Top Stories

Picha: DC Halima Bulembo aungana na wakuu wa Idara, ‘Kutekeleza wajibu wao katika Utumishi’

June 2, 2023
Top Stories

Upinzani unashinikiza mageuzi mapya ya uchaguzi

June 2, 2023
Sports

Nyota wa zamani wa Manchester United Lingard kuondoka Nottingham Forest

June 2, 2023
Top Stories

Serikali ya Congo na mahakama ya ICC zakubaliana kuimarisha ushirikiano

June 2, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?