Michezo

Post 10 za Watu maarufu Tanzania baada ya game ya Simba vs Yanga

on

February 25 leo kulikuwa na mechi kubwa ya Watani wa jadi Simba vs Yanga iliyoisha kwa Simba kushinda kwa goli 2-1 ikiwa ni mechi iliyotazamwa na watu wengi zaidi pamoja na kuhudhuriwa na Waziri Nape Nnauye, Edward Lowassa, Freeman Mbowe, Ridhiwani Kikwete na wengine.

Kiongozi wa chama cha ACT WAZALENDO na Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe

Staa wa Bongofleva Mwana FA

Staa wa muziki wa Bongofleva Dogo Janja

Jerry Muro, Mwandishi/AfisaHabari wa Yanga (anatumikia adhabu)

Staa wa BongoFleva Ommy Dimpoz

Mshindi wa BBA Africa, Mchekeshaji/Mtangazaji Idris Sultan

Mwigizaji Elizabeth Michael ‘LULU’

Waziri wa mambo ya ndani Tanzania Mwigulu Nchemba.

Staa wa soka Emmanuel Okwi ambaye amewahi kuichezea Yanga, Okwi kwenye post ya leo aliunga mkono kilichoandikwa na mmoja wa watumiaji wa Twitter Isaya Machaine aliyeandikaKichuya anafanya vitu kama alivyokua anafanya Okwi…. ameziba pengo vizuri”

Mfanyabiashara maarufu Mohammed Dewji

FULL VIDEO: Steve Nyerere atokwa machozi, ni wakati akiongelea ile sauti iliyosambaa ikiwa imenasa mazungumzo yake ya simu na Mama Wema Sepetu, kila alichoongea kiko kwenye hii video hapa chini

VIDEO: Majibu ya Polisi Dar es salaam kuhusu kumkamata Steve Nyerere na ishu ya Freeman Mbowe, TAZAMA KILA KITU KWENYE HII VIDEO HAPA CHINI

FULL VIDEO: Wema Sepetu alivyotangaza kuhamia CHADEMA, bonyeza play kwenye hii video hapa chini kujionea

Soma na hizi

Tupia Comments