Videos

Video ya Davido ilivyowekwa kikaangoni na The Ubunifu Space

on

The Ubunifu Space ni kundi linaloundwa na watu sita kutoka nchini mbalimbali ambao ni Ian, Tonye, David, Bryan, Sade, Monigue, watu wao wamejipatia umaarufu katika mtandao wa Youtube baada ya kuchambua videos za wasanii mbalimbali zikiwemo za Africa hata za wa marekani.

Sasa basi leo nimekusongezea hii video ujione walivyoichambua video ya Staa wa Nigeria Davido iitwayo Assurance.

JIONEE THE UBUNIFU SPACE WALIVYOICHAMBUA MAKULUSA YA STAA KUTOKEA BONGO FLEVANi RAYVANNY

Soma na hizi

Tupia Comments