Ni headlines za wasanii wawili wa Bongo Fleva kutoka label ya WCB ambapo Queen Darleen leo Dec 20, 2016 ameachi single yake mpya aliyomshirikisha Rayvanny iitwayo Kijuso.imetayarishwa katika studio za Wasafi Records.
Unaweza ukabonyeza play kuisikiliza hiyo single mpya.
EXCLUSIVE: Anachokumbuka Darassa sekunde chache kabla ya kupata ajali ya gari, bonyeza play hapa chini
Unazitaka Breaking NEWS na Stori zote? ungana na Millard Ayo kwenye Facebook Twitter Instagram na Youtube na atakuletea matukio yote ya picha, video na habari iwe usiku au mchana…. bonyeza hapa >>> FB Twitter Instagram YouTUBE