Balozi wa Tanzania nchini China, Mbelwa Kairuki amewaomba wafanyabiashara wa Tanzania ambao shughuli zao zinaitegemea China, kuvuta subira wakati huu ambao bado mlipuko wa virusi vya Corona vimeendelea kushika kasi.
Balozi Angela Kairuki ”Mipango yao ya kusafiri kuja China wasubiri kwanza, kwa wanaolazimika kabisa kuja chukueni tahadhari”.
ILE KAULI “UCHUMI UNAPANDA PESA HAKUNA MFUKONI” BOT YATOA UFAFANUZI