Mix

PICHA 7: Muonekano wa jengo refu la PSPF

on

Leo April 5, 2017 nimezipata picha saba za jengo refu ambalo lipo Dar es Salaam, Tanzania. Ni majengo pacha ya PSPF Commercial Towers ambayo yana urefu wa mita 152.7 sawa na futi 501 yakiwa na ghorofa 35 ambayo yalianza kujengwa mwaka 2011 na kukamilika 2014.

AyoTV MAGAZETI: Ulikosa kilichoandikwa kwenye magazeti ya Tanzania April 5, 2017? Bonyeza play kutazama.

Soma na hizi

Tupia Comments