Tayari wasanii watakao burudisha kwenye Tamasha la Nandy Festival mkoani Mwanza wamewasili asubuhi ya leo na kupokelewa na waandishi wa habari, hapa ni wasanii Baba Levo na Fid Q wamefunguka walivyojiandaa baada ya kutua Mwanza.
‘Nimekuja kutoa burudani nyumbani na hapa ndipo nilipotokea nimekuja kupiga show kubwa na ninatamani show hii iwe kubwa kuliko zilizowahi kufanyika hapa na ningependa kusema wakitokea watoto wa kike kama wakina Nandy tuwa support tukumbuke mabinti ni wachache kwenye game yetu hii tuwa support tunahitaji kuwa na wasanii wa kike wakubwa kiuchumi, kisanaa hata kimaendeleo’-Fid Q
TAZAMA NANDY ALIVYOTUA MWANZA, KAFUNGUKA KUMPA GIGY SHOW NA KUFANYA FESTIVAL YA WANAWAKE DODOMA