Baadhi ya mastaa Bongo wameonesha mfano wa uvaaji wa Barakoa pasipo kulazimishwa kama sehemu ya kuwahimiza wa Tanzania kuendelea na utaratibu huo kwa kipindi hiki cha ugonjwa wa COVID – 19 kama ilivyoshauriwa na wataalamu wa afya.
Mastaa hao ni Pamoja na mtangazaji Millard Ayo, Hamisa Mobetto, Mwana FA, Ben Pol, Jux, Idriss Slutan na wengine walioshiriki kwenye video hiyo.
Bonyeza PLAY hapa chini kutazama VIDEO