Mbali na kwamba Afrika Kusini bado wanamiliki vichwa vya habari kwa utoaji wa burudani wa nyimbo zao zinazojulikana kama Amapiano.
Sasa time hii Platform ya muziki iitwayo Boiler Room yenye makazi yake Uingereza waliweka kambi kwa muda wa mwezi mmoja nchini Afrika Kusini kwa dhumuni la kurekodi burudani zilizotolewa na wakali mbalimbali akiwemo, Uncle Waffle, Musa Keys, Dj Stokie, Dbn Gogo, Kelvin Momo na Young Stunna.
Hapa nimekusogezea utazame dakika 55 za Uncle Waffles ushuhudie alivyoinogesha session iliyoandaliwa na Boiler Room huko Afrika Kusini.