Ni Machi 10, 2022 ambapo Diamond Platnumz alifanya listening Party ya EP yake iitwayo FOA katika ukumbi wa Slipway uliopo Masaki Dar es Salaam.
Sasa miongoni mwa waliohudhuria ni Baba Levo ambae alikutana na vyombo vya habari kwenye Red carpet, unaweza ukabonyeza play kufahamu alichozungumza.
MBWEMBWE ZA DIAMOND PLATNUMZ ALIVYOINGIA KWENYE PARTY, ULINZI MKALI, SHANGWE KILA KONA